Posts

Showing posts from 2015
Image
Tanzania's new President John Magufuli sworn in Tanzania's new President John Magufuli. He was sworn in on November 5, 2015. Tanzania’s new president John Pombe Magufuli took the oath of office Thursday, watched by regional leaders, after winning hotly contested polls. The event, attended by Kenya’s President Uhuru Kenyatta, was full of pomp and colour. Other leaders who attended the fete include the chairman of African Union (AU) and Zimbabwean President Robert Mugabe, Uganda’s Yoweri Museveni, Rwanda’s Paul Kagame, and DRC’s Joseph Kabila. Other neighbouring leaders are Filipe Nyusi of Mozambique and Zambia's Edgar Lungu. South Africa's Jacob Zuma and Ethiopian Prime Minister Hailemariam Desalegn were also present. President Magufuli won the tight race with 8.8 million votes, beating his closest rival, Edward Lowassa, with a margin of 2.8 million votes CCM GRIP ON POWER His win in the October 25 poll with over 58 per cent of vote...
Vyuoni mwaka 2015/2016 Matokeo ya Mkopo 2015/2016 ni asilimia .. wanafunzi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).  Anaandika Charles William  … (endelea). Hayo yamebainika ikiwa ni siku tatu tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo. Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza kuwapatia mikopo wanafunzi 12,000 pekee sawa na 17.1% ya waombaji zaidi ya 70,000, hivyo kufanya idadi ya wanafunzi waliokosa mikopo kufikia asilimia 82.9 ya waombaji wote. Wanafunzi waliokosa mikopo ya kuwawezesha kujiunga na elimu ya juu na hivyo wazazi wao kutakiwa kugharamia elimu hiyo wameelezea kusikitishwa na hali hiyo huku wakiitaka serikali kuwaangalia kwa jicho la kipekee kwani hawana uwezo wa kuanza masomo pasipo kufadhiriwa na serikali. Wanafunzi hao walionekana ...
Image
FAST AND FURIOUS 7  The Complete List of Amazing Cars in Fast & Furious 7 In a movie where the rides play as pivotal of a role as the actors driving them, the vehicles featured in the latest installment of The Fast and the Furious  deserve some recognition. Furious 7 is slated to be one of the most action-packed installments yet and it’s no surprise that part of the $250 million budget went towards an impressive lineup of vehicles. 1970 Dodge Charger R/T Dom (Vin Diesel) will continue to enjoy his classic black Charger from the first, fourth, and fifth installments. The vehicle is reported to feature 4×4 tires for at least some of the scenes, which should be interesting on a muscle car. 1970 Plymouth Barracuda This black muscle car is the same one that appears at the end of Furious 6 and will make its return in the seventh installment. It’s likely the vehicle has an important role because several copies of the vehicle were reportedly spotted on the Los...
Image
AJALI ZAONGEZEKA DAR Toyota Coaster T 916 BQE  ikiwa imetumbukia mtaloni maeneo ya Sinza Mapambano. Ikionekana kwa nyuma ilipokuwa ikivutwa baada ya kutumbukia mtaloni maeneo ya Sinza Mapambano. Gari nyingine aina ya Toyota Coaster T 561 CJA  iliyoacha njia na kuingia mtaloni katika Barabara ya Mandela. Ikionekana kwa nyuma mara baada ya kutumbukia mtaloni kwenye Barabara ya Mandela. Gari ndogo aina ya Toyota Corolla iliyoharibiwa vibaya baada ya kugongwa na Coaster. Wasamaria wema wakisaidia kulitoa gari, Toyota Corolla barabarani. Gari moja lililokuwa likivutwa na ‘Breakdown’ mara baada ya kuharibika njiani. Haikufahamu gari hilo liliharibikia maeneo gani. Ajalli mbaya zimetokea asubuhi hii maeneo ya Sinza Mapambano na baada ya gari kubwa (coaster) kuigonga gar ndogo (teksi) na kuingia mtaoni. Hakukuwa na watu walioumia vibaya. Ajali nyingine imetokea katika Barabara ya Mandela ambapo coaster moja imeacha njia na kutumbukia mtaroni. Hakukuwa na abiria...
Image
Lowasa katika harakati za Urais *Tafiti Mpya Za Kitaalamu Zadhihirisha Uhalali wake Kisiasa *Kauli ya Jk yaongezewa nguvu na Tafiti Mpya za PTT *Kauli ya mjumbe kamati kuu Jerry Slaa Yampa majibu nape na January "Chama chetu lazima kipeleke bidhaa inayohitajika sokoni, inayouzika na inayokidhi haja ya mnunuaji" *Tafiti zabainisha nguvu ya Wapinzani Wa Lowassa Pinda na Membe, washindwa kutumia System kumzima Lowassa Zaweka wazi ushawishi wa Lowassa Kwa Umma. Taasisi isiyo ya kiserikali ya Positive Thinkers Tanzania imetoa ripoti yake ya utafiti kuhusu mwanasiasa anayekubalika zaidi na wananchi katika nafasi ya Rais ajaye, Lowassa aongoza na nafasi ya 2 imeenda kwa Dr. Wilbroad Slaa huku Mwigulu Nchemba aking'ara kama kijana aliyeongoza kwa kukubalika kwa kukamata namba 3. Ifuatayo ni orodha ya wanasiasa waliongia 10 bora na asilimia ya kura walizopata. 1. Edward Lowassa 22.8% 2. Wilbroad Slaa 19.5% 3. Mwigulu Nchemba 10.6% 4. Ibrahim Lipu...

MASHINDANO YA TMT 2015

Image
▼▼▼BOFYA PICHA KWA KUIKUZA▼▼▼ Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015.  Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa TMT 2015 na kuhaidi makubwa zaidi kwa mwaka 2015