AJALI ZAONGEZEKA DAR
Gari moja lililokuwa likivutwa na ‘Breakdown’ mara baada ya kuharibika njiani. Haikufahamu gari hilo liliharibikia maeneo gani.
Ajalli
mbaya zimetokea asubuhi hii maeneo ya Sinza Mapambano na baada ya gari
kubwa (coaster) kuigonga gar ndogo (teksi) na kuingia mtaoni. Hakukuwa
na watu walioumia vibaya.
Ajali nyingine imetokea katika Barabara ya Mandela ambapo coaster moja imeacha njia na kutumbukia mtaroni. Hakukuwa na abiria zaidi ya dereva peke yake ambaye hakuumia sana.
Ajali nyingine imetokea katika Barabara ya Mandela ambapo coaster moja imeacha njia na kutumbukia mtaroni. Hakukuwa na abiria zaidi ya dereva peke yake ambaye hakuumia sana.
Comments
Post a Comment